Mostafa El Gamel
Mandhari
Mostafa Mohamed Hesham El Gamel (alizaliwa 1 Oktoba mwaka 1988 huko Giza) ni mwanariadha kutoka misri . Alishirirki katika mashindano ya Olimpiki kuiwakilisha nchi yake ya misri katika michezo ya kurusha nyundo ya mwaka 2012 .
Alifungua msimu wake kwa mwaka 2014 kwa kuwa na rekodi ya kurusha umbali wa mita 81.27 (futi 266 na inchi 7+1⁄2 ) (kwenye IAAF ya mita 81.29 ) –ni alama ambayo ilivunya rekodi kwa Afrika.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Al-Gamel smashes African hammer record with 81.29m | REPORT | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-11.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mostafa El Gamel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |