Mona Badr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mona Badr
Amezaliwa Mona Badr
15 novemba 1936
misri
Amekufa 18 Machi 2021
chicago
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 84
Ndoa Mama mrembo

Mona Badr alizaliwa mnamo tarehe 15 Novemba mwaka 1936 alikuwa mwigizaji wa nchini Misri.[1]Aliigiza katika filamu ya Misri mwaka 1957 pamoja na Abdel Halim Hafez. Pia aliigiza filamu ya Lebanon. Mnamo mwaka 1956, alichaguliwa na Jarida la Al-Jeel kama Mrembo wa Misri.[2] Badr alifariki Chicago mnamo tarehe 18 Machi mwaka 2021, akiwa na umri wa miaka 84.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. منى بدر. elcinema.com.
  2. 2.0 2.1 وفاة الممثلة منى بدر | خبر (March 18, 2021).
  3. صوان, أحمد حسين (March 18, 2021). وفاة منى بدر عن عمر ناهز 85 عاما.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mona Badr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.