Mohamed Islam Belkhir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohamed Islam Belkhir (alizaliwa 16 Machi 2001 huko Oran) ni mwanasoka wa Algeria anayechezea klabu ya CR Belouizdad katika Ligi ya Algeria Professionnelle 1 na Algeria U23.

Kazi Yake Kitaifa[hariri | hariri chanzo]

Tarehe 29 Agosti 2021 Belkhir alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Algeria A', akianza kwa kufunga na kutoka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Burundi.[1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Mohamed B (August 29, 2021). "Amical : Algérie A' 3-0 Burundi" (kwa French). DZFoot. Iliwekwa mnamo July 22, 2022.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Islam Belkhir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.