Nenda kwa yaliyomo

Mohamed Ibrahim Elmi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohamed Ibrahim Elmi ni mwanasiasa wa Kenya, mwanachama wa Orange Democratic Movement na alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Tarbaj katika bunge la taifa la Kenya tangu uchaguzi wa bunge wa 2007. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Members Of The 10th Parliament Archived 2008-06-16 at the Wayback Machine. Parliament of Kenya. Accessed June 19, 2008.