Nenda kwa yaliyomo

Mohamed Huka Adan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mohamed Huka Adan alikuwa mwanasiasa wa Kenya na mbunge wa bunge la 11 aliyechaguliwa kutoka eneo bunge la Mandera Kusini kwa tiketi ya chama cha United Republican Party (URP) kwa kuungwa mkono na muungano wa Jubilee. Akiwa bungeni, Adan alihudumu katika kamati ya bunge ya elimu, utafiti na teknolojia na alizungumza mara 63 bungeni wakati wa mkutano wa 11. Adan alifariki machi 2019 kutokana na ugonjwa ambao haukutajwa.[1][2][3][4][5]

  1. "Huka, Mohamed Adan | The Kenyan Parliament Website". www.parliament.go.ke. Iliwekwa mnamo 2023-11-20.
  2. Gachie, Laban Thua (2016-05-02). "Mohamed Adan Huka - Biography, MP Mandera South, Wife, Family". Kenyan Life (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-11-20.
  3. oruta, brian (2019-03-03). "Former MP dies". Pulselive Kenya (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-11-20. Iliwekwa mnamo 2023-11-20.
  4. "Why leaders will give up power in 2017". The Star (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-11-20.
  5. WANAMBISI, LABAN (2016-08-10). "Senator Kerrow keeps pledge with elders, won't vie in 2017 » Capital News". Capital News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-11-20.