Nenda kwa yaliyomo

Mohamed Camara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Camara akiwa na Liefering mnamo 2018

Mohamed Camara (alizaliwa 6 Januari 2000)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Mali, ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika klabu ya AS Monaco na timu ya taifa ya Mali.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://web.archive.org/web/20200206013743/https://www.fifadata.com/document/FWYC/2019/pdf/FWYC_2019_SquadLists.pdf
  2. "Mali - Mohamed Camara - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-06-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mohamed Camara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.