Mnyoo
Mandhari
Mnyoo | ||||
---|---|---|---|---|
Mnyoo-matumbo mkubwa (Ascaris lubricoides)
| ||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||
| ||||
Ngazi za chini | ||||
Faila 4: |
Minyoo ni wanyama wa aina za invertebrata zenye mwili laini, mrefu na mwembamba bila miguu. Huainishwa katika faila mbalimbali kama vile Nematoda, Annelida, Hemichordata na Platyhelminthes.
Mifano ya minyoo ni kama ifuatayo:
- Minyoo-bapa
- Minyoo-kichocho
- Minyoo-kuru (kama mnyoo-matumbo mkubwa)
- Mnyoo-mjeledi
- Mnyoo wa Gini
- Daa au mwata
- Daa-mkonga
- Michango
- Nyungunyungu
- Ruba wa ini
- Rusu
- Safura
- Tegu
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mnyoo-bapa (Pseudoceros dimidiatus)
-
Mnyoo-kichocho (Schistosoma mansoni)
-
Mnyoo-kuru (Steinernema carpocapsae)
-
Mnyoo-mjeledi
-
Mnyoo-mkonga (Glossobalanus sp.)
-
Mnyoo wa Gini akitolewa katika mguu (Dracunculus medinensis)
-
Daa (Arenicola marina)
-
Mwata (Lagis koreni)
-
Nyungunyungu (Eisenia fetidae)
-
Ruba wa ini (Fasciola hepatica)
-
Rusu (Enterobius vermicularis)
-
Safura (Ancylostoma caninum)
-
Tegu (Taenia solium)