Mnara wa Uhuru
Mandhari
Mnara wa Uhuru ni kivutio cha watalii jijini Dar es Salaam, Tanzania.[1]
Ni mnara mweupe wenye mfano wa mwenge wa uhuru uliowekwa juu yake.[2] Ipo katika Hifadhi ya Mnazi Mmoja katikati ya jiji na imezungukwa na uzio.[3]
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Alama ya "kuuzwa" iliyowekwa na wanaharakati kupinga unyakuzi wa ardhi wakati wa mchana.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ronald Aminzade (31 Oktoba 2013). Race, Nation, and Citizenship in Post-Colonial Africa: The Case of Tanzania. Cambridge University Press. ku. 126–. ISBN 978-1-107-04438-8.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Insight Guides (15 Desemba 2013). Insight Guides: Tanzania & Zanzibar. APA. ku. 288–. ISBN 978-1-78005-690-6.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Patrick A. Desplat; Dorothea E. Schulz (Machi 2014). Prayer in the City: The Making of Muslim Sacred Places and Urban Life. transcript Verlag. ku. 162–. ISBN 978-3-8394-1945-8.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mnara wa Uhuru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |