Mlima Shani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Shani; mbele yake kanisa la Utatu Mtakatifu.

Mlima Shani ni mlima unaopatikana nchini Georgia.

Una mwinuko wa mita 4,451 (futi 14,603) na uko kwenye mpaka wa kimataifa kati ya Georgia na Ingushetia, Urusi.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Shani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.