Mlima Sekenke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlima Sekenke ni mlima mrefu Mkoani Singida kwenye barabara ya kwenda Tabora.

Karibu nao kuna mji wa Sekenke.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Sekenke kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.