Mlima Mtorwe
Mandhari
Mlima Mtorwe (pia: Mtove, Mtorwi) ni mlima mrefu katika milima ya kusini mwa Tanzania. Unainuka juu ya uwanja wa Kitulo na kuhesabiwa kuwa sehemu ya Milima ya Kipengere.
Unatajwa kuwa na kimo cha mita 2961 juu ya UB, hivyo ni juu kidogo kuliko Mlima Rungwe (m 2960). Mguuni pa Mtorwe mto Kimani unashuka kupitia maporomoko kwenda Bonde la Usangu[1].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Graeme Watson: Tanzania's Other Mountains, The Alpine Journal 1995, uk 117 f
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mlima Mtorwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |