Nenda kwa yaliyomo

Mlima Kinangop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlima Kinangop ni kilele kirefu cha pili cha milima ya Aberdare nchini Kenya ukiwa na kimo wa mita 3,906 juu ya usawa wa bahari[1]

Kinango ni mlima wa nne kwa urefu nchini Kenya na ina asili ya volikano. Unapatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Aberdare.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. New Encyclopædia Britannica vol. 1 (2005): "The range has an average elevation of 11000 feet (3350 m) and culminates in Oldoinyo Lesatima (13120 feet [3999 m]) and Ilkinangop (12815 feet [3906 m])."
  • "Aberdares South to North (Njabini to Mutubio)". Mountain Club of Kenya. Novemba 24, 2011. Iliwekwa mnamo 2011-12-29.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Brewer, Wesley C. (2005). Beyond the Sangres: A Tale of Hope, Pain, And Courage. iUniverse. ISBN 0-595-35068-2.
  • Mani, M. S. (1968). Ecology and biogeography of high altitude insects. Springer. ISBN 90-6193-114-2.
  • Wielochowski, Andrew (1999). "Aberdare Mountains 3999m". EWP. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-08-11. Iliwekwa mnamo 2011-12-29. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)