Nenda kwa yaliyomo

Mlima Great Domberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mlima Great Domberg (kwa sasa unajulikana kama Mlima Sakila) uko katika wilaya ya Meru, mkoa wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania.

Kimo chake ni mita 1,551 juu ya usawa wa bahari.

Watu wa madhehebu tofauti ya Kikristo kutoka Tanzania na nje ya Tanzania hupanda kileleni kufanya maombi na dua. Mara zote kunakuwa na watu makundi kwa makundi wakiwa wanasali, kumuomba Mungu wakiamini watapata majibu ya mahitaji wanayokusudia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]