Nenda kwa yaliyomo

Mlima Fryatt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
mlima fryatt

Mlima Fryatt ni mlima wa Kanada, wenye kimo cha mita 3,361 juu ya usawa wa bahari. Jina la mlima huu lilitokana na kapteni mmoja aitwaye Charles Fryatt mnamo mwaka 1920.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Fryatt kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.