Mlima Baru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlima Baru

Mlima Baru ni mlima wa volkeno nchini Panama katika Amerika ya Kati.

Una kimo cha mita 3,470 juu ya UB.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Baru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.