Mlango wa Dover

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mlango wa bahari ya Dover

Mlango wa Dover (Kifaransa: Pas de Calais; Kiing.: Strait of Dover) ni sehemu nyembamba ya Mfereji wa Kiingereza kati ya Ufaransa na Uingereza. Bahari ina upana wa 34 km pekee.

Kimataifa imekuwa kawaida kuuita kwa jina la mji wa Dover upande wa Uingereza. Wafaransa wanauita kufuatana na mji wa Calais uliopo upande wao wa mlango wa bahari.

Feri zinavuka kati ya miji ya Dover na Calais.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlango wa Dover kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.