Mkoa wa Saint-Louis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Saint-Louis nchini Senegal
Wilaya za Saint-Louis

Mkoa wa Saint-Louis ni mkoa mmojawapo nchini Senegal. Makao makuu yako mjini Saint-Louis . Eneo la mkoa ni kilomita za mraba 19,241. Wakati wa sensa ya mwaka 2013 mkoa ulikuwa na wakazi 908,942[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Senegal: Administrative division, tovuti ya citypopulation.de, iliangaliwa Januari 2022