Mkoa wa Kolda


Mkoa wa Kolda ni mkoa mmojawapo nchini Senegal. Makao makuu yako mjini Kolda . Eneo la mkoa ni kilomita za mraba 13,771. Wakati wa sensa ya mwaka 2013 mkoa ulikuwa na wakazi 714,392.[1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Senegal: Administrative division, tovuti ya citypopulation.de, iliangaliwa Januari 2022