Mkoa wa Kedougou
Mandhari
Mkoa wa Kédougou ni mkoa mmojawapo nchini Senegal. Makao makuu yako mjini Kédougou . Eneo la mkoa ni kilomita za mraba 16,800. Wakati wa sensa ya mwaka 2013 mkoa ulikuwa na wakazi 152,357.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Senegal: Administrative division, tovuti ya citypopulation.de, iliangaliwa Januari 2022