Mkoa wa Kaskazini (Rwanda)
Mandhari
Mkoa wa Kaskazini (kwa Kinyarwanda: Intara y'Amajyaruguru) ni kati ya mikoa mitano ya Rwanda tangu mwaka 2006, ambapo ulianzishwa kwa kuunganisha mikoa ya Ruhengeri, Byumba na sehemu ya Kigali Vijijini.
Kwa sasa linaundwa na wilaya 5:
Makao makuu yako Kinihira, katika wilaya ya Rulindo, lakini miji mikubwa zaidi ni:
Wakazi ni 1,651,000.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kaskazini (Rwanda) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |