Mkoa wa Fatick


Mkoa wa Fatick ni mkoa mmojawapo nchini Senegal. Makao makuu yako mjini Fatick . Eneo la mkoa ni kilomita za mraba 6,849. Wakati wa sensa ya mwaka 2013 mkoa ulikuwa na wakazi 835,352.[1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Senegal: Administrative division, tovuti ya citypopulation.de, iliangaliwa Januari 2022