Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Boharo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Boharo (zamani ilifahamika kama Haylaan) ni mmoja kati ya mikoa ya kiutawala ya Puntland iliyojitenga na Somalia. Iliyo na kona nje ya Sanaagn.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Boharo ni mkoa uliopo Maakhir (zamani moja kati ya mikoa ya Somalia).[1] Makao makuu ya Boharo ni Dhahar, ni mji mkubwa wa pili Maakhir na "mji wa pili" baada ya mji mkuu Badhan. Gavana wa Boharo ni Abdirizak Osman Adan na naibu wake ni Ahmed Hasan.

Boharo ina wilaya sita: 1) Dhahar; 2) Ceelaayo; 3) Bali-Busle; 4) Baragaha Qol; 5) Buraan; na, 6) Hingalol.

  1. Burgett, C.L.; Hoover, C.S.; Rousseau, J.J.; United States Board on Geographic Names; United States. Defense Mapping Agency (1987). Gazetteer of Somalia: Names Approved by the United States Board on Geographic Names. [Gazetteer (United States Board on Geographic Names)]. Defense Mapping Agency. ku. 66 ff. Iliwekwa mnamo 8 Novemba 2018.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: extra punctuation (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Boharo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.