Mjukuu
Mandhari
Mjukuu ni mtoto wa mwanao, bila kujali jinsia yako wala yake. Yeye anakuita babu au bibi.[1]
Mtoto wake tena anaitwa kitukuu, mtukuu au kusukuu.[1]
Katika Kiswahili ni maarufu mithali inayosema, "Majuto ni mjukuu", kwa maana mara nyingi jambo la hatari ulifanyapo kwa wakati husika, waweza kujuta baadaye.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
- ↑ 1.0 1.1 "eLimu | Msamiati: Nasaba/ Ukoo". learn.e-limu.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-22. Iliwekwa mnamo 2022-04-12.
- ↑ Ngii, Jacline (2010-12-13). "Majuto Ni Mjukuu". Kiswahili Story Database (0).