Misaki Amano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Misaki Amano (alizaliwa 22 Aprili 1985) ni golikipa wa zamani na kocha wa klabu ya Urawa Red Diamonds inayoshiriki ligi ya WE League. Amano alikuwa golikipa wa kulipwa kwenye klabu ya TEPCO Mareeze na Vegalta Sendai zinazoshiriki ligi ya Nadeshiko huko japan. Misaki alicheza kwenye timu ya taifa ya wanawake ya Japani mwaka 2007 katika kikosi cha Kombe la Dunia la FIFA la wanawake..[1][2][1][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Error on call to Template:Cite interview: Parameter subject (or last) must be specified
  2. Jonas, Robert. "It's goals galore as FC Gold Pride beats TEPCO Mareeze, 4-1", Center Line Soccer, 15 March 2010. 
  3. "History in the making", Womens Soccer United, 27 April 2012. Retrieved on 2024-04-26. (en) Archived from the original on 2023-04-25. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Misaki Amano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.