Nenda kwa yaliyomo

Milan Antonijević

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Milan Antonijevic (alizaliwa 24 Septemba 1975) ni wakili wa Serbia, mwanaharakati wa haki za binadamu, na mwanafursa hadi kufikia mwaka 2019, mkurugenzi mtendaji wa Open Society Foundation Serbia.

Milan Antonijevic

Kazi Na maisha Ya Awali

[hariri | hariri chanzo]

Milan Antonijević ambaye alizaliwa tarehe 24 Septemba 1975 huko Belgrade, Serbia, Yugoslavia. Alihitimu kutoka chuo cha Gymnasium ya Tatu ya Belgrade na Chuo Kikuu cha Belgrade katika Kitivo cha Sheria na Idara ya Sheria ya Kimataifa. [1]

  1. "Aktivisti". www.yucom.org.rs. YUCOM. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Januari 2016. Iliwekwa mnamo 19 Septemba 2019. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Milan Antonijević kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.