Mike Mosiello
Mandhari
Mike Mosiello (jina kamili Michele Alfonso Mosiello; 2 Desemba 1896 – 3 Juni 1953) alikuwa mpiga tarumbeta wa asili ya Italia aliyehamia Marekani.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mike Mosiello kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |