Nenda kwa yaliyomo

Mikael Agricola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mikael Agricola kwenye Kanisa Kuu la Turku, Ufini.

Mikael Agricola (takriban 1509 – 9 Aprili 1557) alikuwa mwanateolojia katika nchi ya Ufini. Alikuwa mwanafunzi wa Martin Luther na Philipp Melanchthon na baadaye alileta mabadiliko ya kanisa kule Finland. Pia alianzisha fasihi katika lugha ya Kifini na kutafsiri Agano Jipya.[1][2]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  1. Kivi, Aleksis (1834 - 1872)Jumba la biolojia nchini Finland
  2. Dan Graves. "Michael Agricola,". Christianity.com. Iliwekwa mnamo 6 Machi 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mikael Agricola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.