Michael Pupin
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mihajlo Idvorski Pupin)
Michael Idvorsky Pupin (4 Oktoba 1858 – 12 Machi 1935) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza na kuboresha mawasiliano ya simu. Mwaka wa 1924, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu kwa tawasifu yake From Immigrant to Inventor ("Kwanza Mhamiaji, halafu Mvumbuzi").
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Michael Pupin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |