Nenda kwa yaliyomo

Mickael Carreira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mickael Carreira

Mickael Carreira (jina kamili: Mickael Araújo Antunes; amezaliwa 3 Aprili 1986) ni mwimbaji wa pop na mtunzi wa nyimbo wa Ureno. Anajulikana sana kwa nyimbo zake za mapenzi zilimfanya kuwa mmoja wa wasanii wanaouza sana nchini Ureno.

Kwa jumla, Albamu zake ziliidhinishwa na platinamu mara tisa. [1] Katika kipindi cha kazi yake, Mickael ameshirikiana na wasanii wa kimataifa kama vile Anggun, Enrique Iglesias na Sebastián Yatra .

  1. "Mickael Carreira. "Em Portugal não se consegue viver de gravar discos" – DN". dn.pt (kwa Kireno). Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mickael Carreira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.