Michele Anderson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michele J. Anderson (alizaliwa Januari 30, 1967 ni Rais wa awamu 10 katika Chuo cha Brooklyn, na ni msomi katika masuala ya sheria ya ubakaji.[1]

Anderson alihitimu kutoka Chuo Kikuu cha California, mnamo mwaka 1989 na Shahada ya Sanaa katika mafunzo ya Jamii, na kupata heshima kubwa katika Chuo cha Merrill.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Definition of Rape is Shifting Rapidly". Retrieved on 2015-08-17. 
  2. "M.J. Anderson : CV". Law.cuny.edu. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-02-26. Iliwekwa mnamo 2015-08-17.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michele Anderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.