Nenda kwa yaliyomo

Michael Laudrup

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Michael Laudrup (alizaliwa 15 Juni 1964) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Denmark. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Denmark.

Laudrup ameichezea timu ya taifa ya Denmark tangu mwaka wa 1982. Laudrup alicheza Denmark katika mechi 103, akifunga mabao 35.[1]

[1]

Timu ya Taifa ya Denmark
MwakaMechiMagoli
198232
198345
1984132
198566
1986101
198740
198891
198984
199063
199100
199200
199340
199483
199595
199681
199721
199891
Jumla10335
  1. 1 2 Michael Laudrup at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Laudrup kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.