Michael George Mabuga Msonganzila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Michael George Mabuga Msonganzila (amezaliwa 17 Julai 1956) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Askofu Mkuu Anthony Peter Mayala mwaka wa 2008. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Jimbo la Musoma.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael George Mabuga Msonganzila kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.