Mia tatu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mia tatu ni namba inayoandikwa 300 kwa tarakimu za kawaida na CCC kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 299 na kutangulia 301.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 3 x 5 x 5.

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mia tatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.