Nenda kwa yaliyomo

Mia mbili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mia mbili ni namba inayoandikwa 200 kwa tarakimu za kawaida na CC kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 199 na kutangulia 201.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 5 x 5.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mia mbili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.