Nenda kwa yaliyomo

Mi amor sin tiempo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mi amor sin tiempo ni telenovela ya Meksiko iliyotayarishwa na Carlos Moreno kwa TelevisaUnivision.[1] Iliigizwa na Karla Esquivel, Andrés Baida, Leticia Calderón, Juana Arias, Mane de la Parra na Alejandro Camacho.[2] Ilionyeshwa kwenye Las Estrellas kutoka 15 Julai hadi 1 Novemba 2024.[3]

Washiriki

[hariri | hariri chanzo]
  1. Ferreyra, Tzoali (21 Desemba 2023). "Televisa vuelve a apostar a remakes; prepara nueva versión de exitosa novela de 1999". Radio Fórmula (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 18 Mei 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Cortés, Chema (13 Mei 2024). "Melodra+: "Mi Amor Sin Tiempo" y "El Ángel de Aurora", cartas fuertes de TelevisaUnivision". certezadiario.com (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 18 Mei 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "¿Cuándo y a qué hora termina 'Mi Amor sin Tiempo'? Aquí todos los detalles". lasestrellas.tv (kwa Kihispania). 28 Oktoba 2024. Iliwekwa mnamo 28 Oktoba 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. González, Moisés (6 Septemba 2024). "De un vistazo: La historia de Juana ya tiene fecha de estreno por Univision, y más imágenes ¡De telenovela!". People en Español (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 31 Oktoba 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mi amor sin tiempo kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.