Mfumo majira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mfumo majira wa kawaida

Mfumo majira (pia: mfumo viwianishi) ni mbinu wa hisabati unaoeleza nafasi ya kila nukta katika seti ya namba.

Mfumo majira wa kawaida (huitwa pia mfumo majira katesia kufuatana na Rene Descartes) hueleza nafasi ya nukta katika tambarare.

Nafasi zote zapangwa kwa njia ya majira (viwianishi) 2 yanaoitwa

  • jira-x jiramlalo
  • jira-y au jirawima

Nukta majira hupatikana kwa kueleza mistari miwili sulubi, moja ukipita kwenye jira-y na mwingine kwenye jira-x. Inapokutana ni nafasi ya nukta ianyoelezwa.

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mfumo majira kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.