Majiranukta ya anga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Majiranukta ni namna ya kuonyesha nafasi. Kila majiranukta ni kipimo kinachopimwa kutoka mwanzo wa mstari fulani, inayoitwa mhimili wa majiranukta. Katika astronomia, kuna mifumo minne ya msingi ya majiranukta za astronomia. Mifumo hii ni mfumo wa majiranukta wa ikweta, mfumo wa majiranukta wa Altazimuth, mfumo wa majiranukta wa mbingu au wa jua na mfumo wa majiranukta wa galactic.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Majiranukta ya anga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.