Nenda kwa yaliyomo

Mercy Achieng Onyango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mercy Achieng Onyango (anajulikana kama Mercy Achieng; alizaliwa 12 Agosti 1992) ni mwanasoka wa Kenya anayechezea Thika Queens na timu ya taifa ya Kenya.

Alichezea Kenya katika Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake 2016. Aliifungia Kenya katika mechi ya michuano ya COSAFA ya Wanawake ya 2017 dhidi ya Swaziland.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mercy Achieng Onyango kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.