Merceline Wayodi
Mandhari
Merceline Wayodi (alizaliwa 5 Julai 1995)[1] ni mchezaji wa soka nchini Kenya na anacheza kama kiungo wa klabu ya Vihiga Queens FC pamoja na timu ya taifa ya Kenya.
Kazi za kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Wayodi aliichezea timu hiyo mechi ya kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2022 dhidi ya Sudan Kusini.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://int.soccerway.com/players/-/800134/
- ↑ "Eight star Kenya wallop hapless South Sudan in AWCON qualifiers". MozzartSportKe. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Merceline Wayodi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |