Nenda kwa yaliyomo

Mercedes de Jesús Egido

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mercedes de Jesús Egido y Izquierdo (29 Machi 19353 Agosti 2004) alikuwa mtawa wa Hispania wa Shirika la Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili (Order of the Immaculate Conception).

Alijulikana kwa kufanya mageuzi makubwa katika mtindo wa maisha wa shirika hilo, akilenga kuimarisha maisha ya kiroho na maadili ya kitawa.

Mchakato wa kumtangaza mwenye heri (beatification) unachunguzwa na Vatican..[1]

  1. "Madre Mercedes de Jesús". Monasterio de Monjas Conceptionistas de Alcázar de San Juan.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.