Meisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Meisho wa Japani)
Mchoro wa Meisho

Meisho (9 Januari 16244 Desemba 1696) alikuwa mfalme mkuu wa 109 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Okiko. Tarehe 22 Desemba 1629 alimfuata baba yake, Go-Mizunoo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 14 Novemba 1643. Aliyemfuata ni mdogo wake Go-Komyo.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Meisho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.