Megawati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Megawati ni kizio cha nguvu kinacholingana na wati milioni moja (wati 106).

Kizio hiki hutumika kutaja uwezo wa vituo vya kuzalisha umeme. Kwa mfano kituo cha nyuklia huwa na uwezo wa megawati 500 - 1500.

Kwa upande wa matumizi, jengo kubwa la makazi au la biashara litatumia megawati kadhaa za umeme.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Megawati kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.