Meena Keshwar Kamal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Meena Keshwar Kamal mwaka wa 1982
Meena Keshwar Kamal, 1982

Meena Keshwar Kamal (kwa Kifarsi: مینا کشور کمال; anajulikana sana kwa jina la Meena; 27 Februari 1956 – 4 Februari 1987[1]) alikuwa mwanamapinduzi wa kisiasa wa Afghanistan, mwanaharakati na mpigania haki za wanawake pia ni mwanzilishi wa Revolutionary Association of the Women of Afghanistan (RAWA) [2] ambaye aliuwawa mwaka 1987.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Biography of Martyred Meena, RAWA's founding leader". www.rawa.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-09-07. Iliwekwa mnamo 2022-03-21. 
  2. "Revolutionary Association of the Women of Afghanistan", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-09-12, iliwekwa mnamo 2022-03-21 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Meena Keshwar Kamal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.