Mdako

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Mdako ni mchezo asilia wa watoto wa Afrika Mashariki.

Mchezo huu unashirikisha watoto wawili na kuendelea ambao hutumia vijiwe au changarawe kumi na mbili. Kati yake moja huteuliwa kuwa malkia. Mwenye zamu hulichukua na kulirusha juu na kuanza kuchambua yaliyobakia katika duara dogo au shimo akianza na mojamoja, kisha mawilimawili na kuendelea. Mshiriki anayefanikiwa kuchambua mawe yote bila kudondosha malkia huwa mshindi.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mdako kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.