Nenda kwa yaliyomo

Mbuga ya Wanyama ya Abdoulaye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mbuga ya Wanyama ya Abdoulaye ni eneo lililohifadhiwa linalopatikana nchini Togo . Hifadhi hiyo Ilianzishwa mnamo 1951. Ina eneo la kilomita za mraba 300. [1]

  1. Blanc, J. J. (2003). African elephant status report 2002: an update from the African Elephant Database. Issue 29 of Occasional papers of the IUCN Species Survival Commission. IUCN/SSC African Elephant Specialist Group. uk. 291. ISBN 2-8317-0707-2.