Mbuga ya Taifa ya Mountain Zebra
Mandhari
Mbuga ya Taifa ya Mountain Zebra ni mbuga ya kitaifa katika jimbo la Eastern Cape ya Afrika Kusini iliyoanzishwa mnamo Julai 1937 kwa madhumuni ya kutoa hifadhi ya asili kwa pundamilia wa mlima wa Cape walio hatarini kutoweka.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Mapema mwa miaka ya 1930, pundamilia wa mlima wa Cape walitishiwa kutoweka . Bodi ya Wadhamini wa Hifadhi za Taifa ilitangaza km 17.12 ni kwa ajili ya eneo la uhifadhi wa pundamilia mnamo 1938 baada ya ununuzi wa shamba la Babylons Toren, Cradock mwaka mmoja kabla. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |