Nenda kwa yaliyomo

Mayorkun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adewale Mayowa Emmanuel (anajulikana kama Mayorkun, 23 Machi 1994) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mpiga kinanda na dansi wa Nigeria.[1]

  1. "Mayorkun Biography", MyBioHub, 2016-07-04. (en-US) 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mayorkun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.