Mayim Bialik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bialik in 2018

Mayim Chaya Bialik; alizaliwa Desemba 12, 1975) ni mwigizaji, mtangazaji wa kipindi cha michezo, na mwandishi wa Marekani. Kuanzia mwaka 1991 hadi 1995, alicheza kama mhusika mkuu wa NBC sitcom ya Blossom.

Kuanzia mwaka 2010 hadi 2019, alicheza kama mwanasayansi wa neva Amy Farrah Fowler kwenye CBS sitcom ya The Big Bang Theory, ambapo aliteuliwa mara nne kwenye tuzo ya Primetime Emmy Award kama mwigizaji bora.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mayim Bialik kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.