Nenda kwa yaliyomo

Maureen Patricia Lines

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maureen Patricia Lines (alijulikana kama Bibi Dow wa Kalash; 23 Oktoba 1937 - 17 Machi 2017) alikuwa mpiga picha, mfanyakazi wa kijamii na mwanamazingira nchini Uingereza ambaye alikuwa anajulikana aliyokua akiifanya kwa wakati huo .[1][2][3][4]

Maureen Lines alitembelea kwa mara ya kwanza Pakistani mnamo mwaka 1980 na kuanzia hapo alianza kukuza utamaduni wa Kalasha ambapo alitunukiwa tuzo ya Tamgha-i-Imtiaz mnamo mwaka 2008. Alikuwa mwanzilishi wa Hindu Kush Conservation Association akishirikiana na Nicholas Barrington, aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Uingereza nchini Pakistani.[5][6] Alifariki huko Peshawar akiwa na umri wa miaka 79 na kuzikwa katika makaburi ya Uingereza.[7]

  1. "BBC NEWS - World - South Asia - After nearly 20 years - she's Pakistani". news.bbc.co.uk.
  2. "Bibi Dow of Kalash forced to leave home - The Express Tribune". 15 Novemba 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Jan, Ali (19 Machi 2017). "Celebrated Kalasha activist Maureen Lines passes away".{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Maureen 'Bibi Dow' Lines Dies at 79". 19 Machi 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-19. Iliwekwa mnamo 2023-04-15.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "British author, social worker Maureen Lines dies in Peshawar". www.thenews.com.pk.
  6. "About Maureen Lines - Hindu Kush Conservation Association". www.hindukushconservation.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-15. Iliwekwa mnamo 2023-04-15.
  7. "Renowned social worker Ms Maurine passes away - Chitral News". 18 Machi 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maureen Patricia Lines kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.