Nenda kwa yaliyomo

Maudhui katika kazi ya kifasihi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maudhui katika kazi ya kifasihi ni jumla ya mambo yanayozungumziwa na mtunzi katika kazi yake ya kifasihi ambayo anapenda kuyafikisha kwa hadhira.

Vipengele vya maudhui

[hariri | hariri chanzo]
  • dhamira
  • ujumbe
  • falsafa
  • migogoro
  • msimamo